Kampuni ya Apple imezindua simu mpya aina ya iPhone X ambayo hutumia utambulisho wa uso wako badala ya kidole kufunguka.
Apple imesema kuwa simu hiyo inayojulikana kama Iphone 10 pia inaweza kutumia utambulisho huo wa uso nyakati za usiku kufunguka na kwamba ni vigumu kuidanganya ikilinganishwa na mfumo wa kutumia kidole.
Ndio simu ghali zaidi kuzinduliwa na Apple.
Ikiwa na ukubwa wa kuhifadhi Gigabait 64 simu hiyo itagharimu £999 nchini Uingereza wakati itakapoanza kuuzwa rasmi mnamo mwezi Novemba tarehe 3.
Simu yenye ukubwa wa kuhifadhi Gigabait 256 itauzwa kwa £256 nchini Uingereza.
Simu hiyo ina uwezo wa kuchajiwa kwa Wirless kwa Glass iliyopo nyuma inayoiwezesha kujaa chaji mapema.
Haina uwezo wa kuingia maji wala vumbi
Ime designiwa kwa glass maalum ambayo itakuwa ni vigumu kupasuka kwa urahisi
Uwezo mkubwa wa Camera ambao unaifanya ni simu ya kwanza kutoka ikiwa na ubora mzuri na mkubwa wa camera zenye kutoa HD kuliko simu yoyote nyingine.
Uwezo mkubwa wa kucheza game bila tatizo
Unaweza kuchaji vifaa 3 vya simu hiyo kama,saa,earphones pamoja na cm hiyo kwa njia ya wireless bila kutumia wire cable kwa glass maalum ambayo unaweza ukaiweka chini ya vifaa hivyo
UNAWEZA KUZITAZAMA VIDEO HAPO CHINI ILI UELEWE KWA KINA
VIDEO 1
VIDEO 2
VIDEO 3
VIDEO 4
EmoticonEmoticon