Female Rapper Young MA Amefunguka na kusema kuwa anamkubali Female Rapper mwenzake Cardi B kwa kile anachokifanya katika game yake ya muziki.
Kupitia mahojiano na Billboard MA alisema,"Nampenda Cardi B na nina furaha Cardi B anafanya mambo yake,unatakiwa uonyeshe upendo cs hii i New York."
TAZAMA AKIFUNGUKA
EmoticonEmoticon