Female Rapper Cardi B anayefanya powa kwa ngoma yake ya Bodak Yellow iliyopo namba 3 katika chart kubwa za Billboard Hot 100 amefunguka kuhusiana na ngoma yake na msanii anayemtazamia kufanya naye Collaboration.
Kupitia Billboard Interview amefunguka na kusema,"Sikuamini kuingia katika chart za Billboard top 10 na hatimaye kujikuta katika nafasi niliyopo na kila siku nikiangalia nimefika pale,najikuta natoa machozi,Nahitaji kukaa namba 1 japo kwa week 1 tu na ntajihisi ok."
Kuhusiana na Collaboration msanii anayemtazamia kufanya naye collabo amefunguka na kusema,"natamani kufanya collabo na moja kati ya marafiki zangu ambaye ni Lady Gaga,nataka kumwambia kwamba ninampenda"
TAZAMA AKIFUNGUKA
EmoticonEmoticon