Rapper Yo Gotti amefurahia baada ya ngoma yake akiwa na Nicki Minaj inayoitwa Rake It Up kufanya powa katika chart mbalimbali na kufanikiwa kufanya vizuri kimauzo na kuingia katika chart za Billboard Hot 100 ikiwa ni ngoma ya Yo Gotti ya kwanza kuingia katika Top 10 ya chart hizo.
Kupitia ukurasa wa Instagram rapper huyo ameandika,"#1 Record In Country Urban Yesterday! NOW TOP 10 @billboard HOT 100 TODAY!
#RakeitUp"
EmoticonEmoticon