Moja kati ya wasanii waliokuwa wamepangwa ku perform katika tuzo za Mtv jumapili ni pamoja na The Weeknd bt hakuweza kutokea katika tuzo nne japokuwa alikuwa katika category nne za kugombea tuzo hizo.
Kupitia vyanzo tofauti vya habari vimeweza kuripoti kwamba,The Weeknd hakuhudhiria katika shoo hiyo kwasababu hakujisikia kuzipenda na sababu nyingine ni kwamba alikuwa amechoka kutokana na ratiba ya Tour yake ya The Starboy:The Legend Of The Fall.
EmoticonEmoticon