Mpiganaji Floyd baada ya kushinda pigano lake la mwisho,amefunguka na baada ya kuulizwa ikitokea akiambiwa kuna dola million 300,400 aingie tena ulingoni,ataingia?kwasababu kipindi cha nyuma alikuwa ametangaza kustaafu lakini baada ya kusikia kiwango cha pesa akaingia uwanjani.
Floyd alijibu swali hilo kwa kusema, “Hili ndyo pambano langu la mwisho Ladies & Gentlemen,For Sure usiku wa leo hili ndyo pambano langu la mwisho”.
Unaweza kutazama kipande cha video hapo chini akifunguka.
@FloydMayweather : This is my Last Fight Ladies & Gentlemen.https://t.co/zjA6CYXkra pic.twitter.com/dYFkP45ADj— Mulla Star (@mullastar255) August 29, 2017
EmoticonEmoticon