TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Quavo Wa Kundi La Migos Afunguka Kuhusiana Na Wimbo Wa Taifa (VIDEO)

Baada ya mashabiki kumuomba rapa wa kundi la Migos Quavo kutengeneza wimbo wa mpya wa taifa la Marekani ,staa huyu amejibu na kutoa vigezo vyake.

Kupitia TMZ Quavo amefunguka na kusema,Ningependa kutengeneza wimbo pya wa taifa ila nitapenda zaidi kama nitatengeneza wimbo wa taifa wa mwaka 2017 kwaajili ya kila mtu na usio na ubaguzi, kitu kinachowakilisha kila mtu

SIKILIZA AKIFUNGUKA HAPA

Quavo anasema kwanza lazima akusanye wasanii waimbaji wazuri sana na apewe muda mzuri wa kuandika wimbo huu.

Unahisi kwamba Quavo ataweza??Sikiliza Hapo chini halafu uaminie uwezo wake na ujue kwamba mashabiki wanao uwezo wa kuchagua mtu mwenye sauti ya kutosha

                         PLEASE USISHAU KU-SHARE HAPO CHINI 


EmoticonEmoticon