Ikiwa inaendelea kukimbiza sokoni pamoja na redioni,French Montana ameamua kuiongezea utamu ngoma yake ya Unforgettable kwa kumchukua Mariah Carey kufanya naye remix ya wimbo huo.
Kupitia Mullastar imekinyaka kipande kidogo cha remix hiyo iliyofanywa ambapo kuna uwezekano wa ngoma hiyo kuingia sokoni soon bt French Montana bado haja confirm kwamba remix hiyo itakuja sokoni au wameshaifanya bt wameonekana studio.Unaweza kusikiliza kipande kidogo cha Remix hapo chini.
SIKILIZA AUDIO HAPA
EmoticonEmoticon