Moja kati ya watangazaji wanaofanya powa kwenye vipindi vya Burudani akiwa anatokea Arusha kwenye Radio Triple A Fm,Ameileta hii audio ya wimbo wake unaitwa Sina,Imefanywa na Justino ndani ya Iko Sawa.Unaweza kuiskiliza hapo chini.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon