TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kendrick Lamar Official Ametangaza Kuingia Deal Na Kampuni Hii Kubwa

Rapper Kendrick Lamar baada ya kuwa katika deal la sneakers za Reebok Class C toka mwaka 2016,Right now amelipiga deal hilo chini na amepata shavu la deal kubwa lingine jipya na amelitangaza kupitia mitandao yake ya kijamii official 

Kupitia mitandao yake ya kijamii Twitter pamoja na Instagram,ametangaza right now kuingia deal na kampuni ya Nike ambayo inatoa product mbali mbali bt yeye amepost deal waliyoingia nao ni ya sneakers za Nike Classic Cortez
Right Now ni Official News cs ametangaza kupitia mitandao yake ya kijamii.Tazama post hapo chini
A post shared by Kendrick Lamar (@kendricklamar) on


EmoticonEmoticon