TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nicki Minaj Mpaka Kwa Lil Uzi Vert

Baada ya Lil Uzi Vert kutoa Project mpya last week ya Luv Is Rage 2,imetokea kufanya mauzo mazuri ya Billboard na kutabiriwa kuna uwezekano wa kufika nafasi ya kwanza ikiendelea na mauzo hayo iliyonayo mpaka wakati huu.

Album hiyo imetokea kuwabamba watu wengi ikiwemo mwanadada Nicki Minaj kupenda moja kati ya ngoma inayopatikana katika album hiyo ambayo inaitwa The Way Life Goes mpaka kumwandikia Lil Uzi Vert katika mtandao wake wa Instagram na kuweka video.

Nicki ameweka video akiwa anaimba wimbo huo na kuandika caption inayosomeka,"🦄 ummm Uzi better make this a single, send me the beat, and quit playin 🙄"
A post shared by Barbie® (@nickiminaj) on


EmoticonEmoticon