TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Floyd Myweather Amefunguka Jina Lake La Money Lilitoka Wapi.

Baada ya kushinda pambano lake la mwisho,Floyd amekuwa aki make headlines kila siku na baadhi ya watu kutaka kujua hali yake ya maisha kwa ukaribu zaidi.

Akiwa katika mahojiano na Abc na Jimmy Kimmel amefunguka baada ya kuulizwa jina lake ambalo ni Nickname #Money,Alijiita mwenyewe au ilikuwaje?

Floyd alijibu na kusema,"Walianza tu watu kuniita wenyewe".

TAZAMA AKIFUNGUKA
Kuhusiana na Pesa anazozipata anazifanyia kazi gani,Alifunguka na kusema anatumia ku-enjoy 


EmoticonEmoticon