July 14 Album ya Grateful ilifikia mauzo ya Gold na mpaka now ina miezi 2 toka imetoka na imefikia mauzo ya makubwa ya Platinum(1,000,000,000) tarehe 23 aliyozaliwa mtoto wake Asahd.
Kupitia Record Industrial Association Of America (RIAA)Wameitangaza kupitia account yao ya Twitter kwa kuandika,"Another one! @djkhaled's #Grateful now #RIAAPlatinum in just 2 months!
Furaha ya Dj Khaled katika mtandao wake wa Instagram amefurahia Album yake kufikia mauzo ya Platinum tarehe 23 kwani mwanaye Asahd amezaliwa October 23 na amefikisha miezi 10 mpaka now na Album ina ngoma 23,pia imetoka June 23 na amefurahia kwa kuandika tarehe 23 ni siku special na kuwashukuru mashabiki.Another one! @djkhaled's #Grateful now #RIAAPlatinum ππΌπΏ in just 2 months! pic.twitter.com/dWL1PfsR3B— RIAA (@RIAA) August 23, 2017
Dj Khaled ameandika,"MY SON WAS BORN ON oct #23my album #GRATEFUL came out June #23Now my ALBUM IS PLATINUM ON AUGUST #23 and And my son turns 10 months today!! And the the album has #23 tracks and I got my own @jumpman23 safe to say #23 is special # .. FAN LUV WE DID IT !!! #DJKHALED #GRATEFUL ALBUM OFFICIALLY PLATINUM!!!!! @wethebestmusic!!!! @rocnation!!! @epicrecords !!"
PLEASE USISHAU KU-SHARE HAPO CHINI
EmoticonEmoticon