Luis Fonsi amefurahia ngoma yake ya Despacito kufanikiwa kuvunja record iliyowekwa miaka 20 iliyopita na Mariah Carey akiwa na Boys 2 Men na ngoma yao ya One Sweety Day ambayo ilitoka mwaka 1996 na kufanikiwa kukaa kwenye chart za Billboard kwa Week 16.
Track ya Despacito ambayo ni Remix yao wakiwa na Daddy Yankee waliyomshirikisha Justin Bieber imefanikiwa kuvunja record hiyo kwa kukaa week 16 katika chart hizo za Billboard nafasi ya kwanza bila kushuka hata kwa siku 1.
Furaha ya Luis Fonsi kupitia mitandao yake ya kijamii ameandika,"This is historic for Latin Music! Thank you guys for all your support... feeling very blessed right now🙏🏽 Gracias @daddyyankee, @justinbieber #Despacito#MakingHistory @billboard 🇵🇷"
This is historic for Latin Music! Thank you guys for all your support... feeling very blessed… https://t.co/kdxGkw1ohP— Luis Fonsi (@LuisFonsi) August 28, 2017
TAZAMA UPDATE ZA CHART YA BILLBOARD SINGLE KWA WEEK HII
1. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
2. DJ Khaled feat. Rihanna & Bryson Tiller – “Wild Thoughts”
3. Cardi B – “Bodak Yellow”
4. Imagine Dragons – “Believer”
5. Charlie Puth – “Attention”
6. French Monta feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Shawn Mendes – “There’s Nothing Holdin’ Me Back”
8. Bruno Mars – “That’s What I Like”
9. Ed Sheeran – “Shape of You”
10. Yo Gotti & Mike WiLL Made-It feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”
EmoticonEmoticon