Msanii Diamond Platnumz amevunja ukimya kwa mashabiki kuhusina na ngoma anayoipenda katika album yake ya A Boy From Tandale na kuielezea ngoma hiyo.
Diamond amefunguka na kusema ngoma namba 6 ambayo ni Kosa Langu inapatikana katika album yake hiyo ni Favorite song katika album hiyo nzima na amefunguka pia kuhusiana na hiyo ngoma hapo chini.Tazama video na sikiliza ngoma na ku download chini kabisa.
DOWNLOAD AUDIO|MP3
EmoticonEmoticon