TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Meek Mill Apanga Kuja Africa & Tanzania Ni Moja Kati Ya Sehemu Aliyoipost.Tazama Sababu

"Yea I know him ummm hmmmm......"Moja kati ya mstari unaopatikana katika ngoma yake mpya ya Issues ambayo inafanya powa still now na tunasubiri ujio wake wa Album ya Win & Losses ambayo itatoka karibuni.

Kupitia page yake ya Instagram ameweza kuweka post inayoonyesha sehemu ambayo amekuwa na mashabiki wengi,(Followers) na Africa sehemu kama Lagos Nigeria,Dar Es Salaam Tanzania ni moja kati ya sehemu pia zilizoorodheshwa katika post hiyo bt caption ilikuwa inasema,"COMING TO AFRICA VERY SOON!! 🎉"

Let's Wait & See If Atadondoka Tz au Lagos Nigeria cs haja explain ataingia wap.

A post shared by Meek Mill (@meekmill) on


EmoticonEmoticon