TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid & Drake Hawapikiki Chungu Kimoja Right Now

Wizkid na Drake wameshafanya ngoma kama One Dance pamoja na Come Closer ambazo mpaka sasa zinafanya vizuri katika platform mbali mbali za muziki na katika mixtape ya Wizkid Sound From The Otherside imetokea kusikilizwa sana katika mtandao wa Itune zaidi ya ngoma nyingine.

But Update kuhusiana na wawili hao mpaka sasa ni kwamba Wizkid amemu Unfollow Drake katika mtandao wa Instagram na haijajulikana sababu ya yeye kufanya hivyo.Baada ya kuangalia page ya Wizkid ambayo ilikuwa amewa follow watu 789,baada ya muda ilionekana amepunguza mtu mmoja na kubaki 788 na baada ya kufwatilia kwa undani,Drake Alimic katika watu alio wa follow.





EmoticonEmoticon