TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Justin Bieber Matatizoni Na Polisi,Akamatwa Kwa Kosa Hili

Justin Bieber ameshindwa kujicontrol na kujikuta akiingia matatizoni na Law Enforcement kwa kosa alilolifanya.

Msanii Justin Bieber siku ya July 15 alikamatwa na polisi kwa kosa la kutumia simu huku akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon bt taarifa kamili hazijajulikana kama alikuwa anaongea au anatuma sms(Charting) bt alikuwa anatumia simu
Kwa mujibu wa polisi wamesema kwamba Justin ni mtulivu na aliweza kukubali kosa na kuweza kulipa faini ya kiasi cha Dola za kimarekani $162 ambapo ni sawa na pesa za kibongo 362,232.

So Right Now Bieber is Free


EmoticonEmoticon