TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kendrick Lamar Amefikisha Mauzo Ya Double Platinum Na Album Yake Ya DAMN

Damn ya Kendrick Lama inafanya vizuri katika Chart kubwa za Billboard 200 right now kwa kukamata nafasi ya 2 na imeendelea kuleta good news kwa mashabiki wa Album hiyo baada ya kufikia mauzo makubwa ya Double Platinum ambayo ndyo Album pekee kwa mwaka huu kufikisha mauzo hayo.

Kupitia  The Record Industry Association of America(RIAA) imetangaza mauzo hayo ya Double Platinum kupitia Account ya twitter kwa kuandika,"Our own Michele Ballantyne congratulates @KendrickLamar on DAMN. – 2017’s FIRST and ONLY 2X multi-Platinum Album! #RIAATopCertified"
Kupitia Account ya Instagram ya Kendrick ameandika,"These murals forever belong to my fans. You've always taken my words above and beyond. Around the world and back again. With trust. I am forever grateful. 2x" 


EmoticonEmoticon