TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

French Montana Kwa Mauzo Ya Wiki 1 Amekamata Nafasi Hii Hapa Billboard.Charts Update

Been a week now toka Album ya French Montana Jungle Rules kutoka na imefanya vizuri sokoni na hatimaye imefanikiwa kukamata katika chart kubwa za muziki kwa upande wa Album 200.

French Montana kwa amefanikiwa kufikisha mauzo ya copies 52,000 na kuwa katika nafasi ya 3 kwenye chart hizo ikiwa ni mara ya kwanza ya French Montana kukamata nafasi hiyo cs Last Album ya Exclusive My French alifanikiwa kushika nafasi ya nne.

Jay-z kwa wiki ya pili kwa mauzo makubwa aliyoyafanya na kuendelea kukamata namba 1

Updates Za  Top 5 List Ya Billboards Albums 200
1:Jay-Z - 4:44 = 61,000
2:Kendrick Lamar - Damn = 56,000
3:Frech Montana - Jungle Rules = 52,000
4:Dj Khaled - Grateful = 43,000
5:21 Savage - Issa = 40,000



EmoticonEmoticon