TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Despacito Imeendelea Kuvunja Record.Updates Billboards Hot 100

Luis Fons ni mmoja kati ya watu wenye jina katika upande wa Tasnia ya burudani baada ya video yake kushika nafasi ya 5 katika video zilizotazamwa sana katika ukurasa wa YouTube ambayo ina Billion 2 views.

Lakini pia alifanya chaguo zuri baada ya kumshirikisha Justin Bieber katika Remix ya Despacito na kufanya powa katika Platform mbalimbali kama spotfy na kwingineko kwa kupata Billion of streamed.

Justin Bieber kinachomtesa ni kwamba kila anapoenda katika concert na kuambiwa aiimbe nyimbo hiyo,huwa anashindwa bt kukamilisha hilo Fons aliulizwa kuhusiana na Bieber kuimba Spanish katika ngoma hiyo na kushindwa.

Luis alisema kwamba kulikuwa na Lyrics 2 ambazo ni Spanish & English bt Bieber alisema ataimba tu Spanish.

Right Now ngoma ya Despacito Remix inashikilia namba 1 katika Chart za Billboard Hot 100 kwa muda wa Week 11 mfululizo bila kutetereka katika chart hizo.

SIKILIZA AUDIO HAPA


Dj Khaled katika Top 10 anazo ngoma 2 ambazo zinafanya powa.Ikiwemo I'm The One pamoja na Wild Thoughts 

TAZAMA TOP 10 Billboard Hot 100





EmoticonEmoticon