TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tour Ya Jay-Z 4:44 Imepewa Shavu Na Kampuni Hii Hapa

Tour Ya Rapper Jay-Z inategea kuanza kutimua vumbi kuanzia October 27 na amepata Deal kubwa kutoka kwa kampuni ambalo mpaka sasa hivi msemaji wa Kampuni hiyo ameshathibitisha Deal hilo kuwa wamehusika.

Jay-z amepata shavu na kampuni kubwa ya viatu ya Puma katika Tour yake hiyo,msemaji wa kampuni hiyo ameiambia Billboard kwamba,"Tunathibitisha taarifa za kwamba,sasa hivi tunafanya kazi na Jay-z katika Tour yake ijayo na katika project zake nyingine atakazoshiriki na watu,taarifa nyingine kwa kina tutawajuza muda muafaka"

Katika Post ya Tour ya Jay-Z kwenye cover kuna Logo ya Puma kwa upande wa chini mkono wa kulia imekaa karibu na Tidal x Sprint 

TAZAMA HAPO CHINI



EmoticonEmoticon