TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kendrick Lamar Anatamani Kufanya Kazi na Legend Huyu Hapa

Kendrick Lamar anayefanya vizuri na Album yake ya Damn,amefunguka Legend ambaye anatamani kufanya naye kazi kwa muda huu hapa.

Kupitia video y Instagram katika kurasa ya SwizzBeatz,Kendrick anamwambia Swizz kuwa anatamani kufanya naye kazi siku moja,

Kipindi cha myuma Kendrick alishafanya kazi na mtoto wa Swizz mwenye umri wa miaka 5 na akatengeneza project ya Untitled Unmastered  ambayo ili produziwa na mtoto huyo na kuwa katika moja ya Project zilizofanya vizuri kwenye mauzo ya kufunga mwaka kwa mujibu wa Rolling stone Magazine

TAZAMA VIDEO


EmoticonEmoticon