Baada ya kutoa Album yake ya Bloom na kuwa na mafanikio katika game yake ya muziki,Hatimaye kampuni kubwa ya sneakers imeweza kumchukua MGK na kumpa shavu.
Kampuni ya Reebok imemtangaza rapper MGK ameingizwa katika familia yao kwa kipindi hiki ili kutangaza viatu hivyo vya Reebok Club C Sneakers
Damion Presson, ambaye ni Director of Global Entertainment Marketing amesema kwamba,"Ni kama nguvu kubwa imemzunguka na atakuwa connected na mashabiki wake juu ya hili"
But MGK mwenyewe pia aliweza kufunguka na kusema kwamba,"Hii itakuwa best Summer kwangu na sio kwasababu ya Album yangu na Tower bt hata kwa huu ubia nilioingia na Reebok Classic"
MGK anaungana na wenzake ambao wapo katika hiyo familia akiwemo,Future,Teyana Tylor,Rae Sremmurd na wengine kama Ambassador wa kutangaza Brand hiyo
EmoticonEmoticon