TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Huyu Ndyo Msanii Wa East Africa Aliyepata Shavu La Kushirikishwa Katika Ep Ya Yemi Alade

Yemi Alade anategemea kuachia Extended Play ambayo inakwenda kwa jina la “Mama Afrique” na hii ni baada ya Album yake ya Mama Africa kufanya powa.

Yemi Alade ameweza ku share ngoma zitakazopatikana kwenye EP yake hiyo mpya na msanii mmoja toka Africa Mashariki atakayemshirikisha amemtaja ambaye ni Nyashinski toka Kenya atakayemshirikisha katika Wimbo unaoitwa Nakupenda.

 TAZAMA FULL TRACK LIST 


EmoticonEmoticon