Now tunategemea kuipata Album ya Dj Khaled ya Grateful ambayo ieshamoka kama ngoma 2 humo ndani lakini pia baadhi ya watu tumeshaona picha zao kuwa watashiriki katika hiyo Album.
Kupitia Dj Khaled mwenyewe ameshathibitisha kutoka kwa ngoma ya kwake na Drake ambayo itapatikana kwenye hiyo Album.
Ngoma tayari Cover limeshatoka ambalo linamwonyesha mtoto wa Dj Khaled (ASAHD) na itaitwa jina la To The Max ambayo itatoka June 5 mwaka huu.
Tazama Video hapo chini
#FANLUV! The @Drake vocals are in! #ToTheMax this Monday 6AM EST! @djkhaled #GRATEFUL #SOONCOME pic.twitter.com/H8zPXrdSSK— Epic Records (@Epic_Records) June 2, 2017
EmoticonEmoticon