Baada ya Seson ya 6 ya T.I & Tiny,Rapper T.i amejikita kwenye jambo jingine kubwa pamoja na mchekeshaji maarufu Kevin Hart
Kevin Hart pamoja na T.I wataunganika pamoja katika kutengeneza Comedy Series ambayo itakuwa ime base kwenye muziki ambayo itaitwa The Studio.
Kwa mujibu wa Website ya Deadline imeripoti kwamba T.I na Kevin watakuwa ndyo ma executive producers kupitia Lionsgate Tv na pia wata apper kama wageni waigizaji
EmoticonEmoticon