- Tuma Cover Pamoja na Nyimbo(Official Audio)kupitia sehemu zifuata;
- Email:thedruidboy@gmail.com(hakikisha email ni herufi zote ni ndogo hata ya kwanza)
- Whatsapp:0714-489394
2. Gharama za kuweka nyimbo kwenye Internet(mtandaoni)kupitia Site ya Mullastar;
- AUDIO: Tsh 20,000 Nyimbo 1/Kwa Album Tsh 10,000 Nyimbo Kwa wimbo 1.
- VIDEO:Tsh 10,000 Kwa Video 1
MFANO WA NYIMBO TULIYOIWEKA IKASIKILIZWA MARA 1MILLION |
2. Endapo utahitaji nyimbo yako iweze kuuzwa pia kupitia Mullastar,Jambo hilo litawezekana endapo nyimbo yako itakuwa katika Platform za Tanzania za kuuzia muziki ambazo ni, WASAFI.COM pamoja na MKITO.COM
NOTE:Malalamishi yoyote yatakayowasilishwa kuhusiana na nyimbo ambayo sio haki ya mtu aliyeiwakilisha,Itafutwa ndani ya masaa 24 kama aliyeiwakilisha hatojibu malalamishi.
Kwa Maelezo zaidi Piga.0714-489394.
EmoticonEmoticon