Finally msanii toka Nigeria Starboy Wizkid ameitaja tarehe ya kutoka kwa Album yake mpya Made In Lagos ambayo aliitangaza kuwa anaifanyia kazi miezi 2 iliyopita.
Kupitia account ya Twitter ya Wizkid ametangaza album hiyo itadondoka Tarehe 1 October mwaka 2018(01.10.2018) ambayo post hiyo iliambatana na #madeinlagos
Kwa historia inaonyesha tarehe 1 mwezi wa 10 ni Uhuru wa Nchi ya Nigeria.
LP ya Made In Lagos imecontain ngoma 10 but usisahau kuwa Wizkid alifanya vizuri last Year na Mixtape ya Sound From The Other Side kwa kukamata nafasi ya 108 katika chart za Billboard 200,Huku wengine wakiita mixtape hiyo ni Album.
EmoticonEmoticon