Drake With #kiki Still Kick the Billboard Chart.
Rapper Drake ameendelea kukimbiza katika chart za Billboard kwenye Upande wa Single Hot 100 na In My Feelings huku kwenye 200 akikimbiza na Album yake ya Scorpion kwa week ya 5 mfululizo bila kutiririka.
Week iliyoisha album ya Scorpion imeweza kuuza mauzo ya copy 145,000 ambayo imeiwezesha album hiyo kuendelea kushikilia nafasi hiyo.
Travis Scott ambaye aliachia album last week ASTROWORLD, kwa mujibu wa mtandao wa Hits Double Daily umeripoti kwamba mpaka august 10 album hiyo itakuwa imemaliza week na mauzo yake yatakuwa yamechezea kati ya 300-400,000, ambapo kutakuwa hakuna album nyingine iliyoweza kufanya mauzo hayo kwa week hiyo so mauzo hayo yatamwezesha Travis kukamata nafasi ya 1 kwenye 200 na kumwondoa Drake ambaye ameshikilia week 5.
Top 10 Album Ndani Ya Week Hii
1. Drake – Scorpion – 145,0002. Kenny Chesney – Songs for the Saints – 77,000
3. Post Malone – beerbongs & bentleys – 62,000
4. Juice WRLD – Goodbye & Good Riddance – 39,000
5. Cardi B – Invasion of Privacy – 38,000
6. XXXTentacion – ? – 38,000
7. Various – Mamma Mia! Here We Go Again – 37,000
8. Halestorm – Vicious – 29,000
9. Various – The Greatest Showman – 28,000
10. Daughtry – Cage to Rattle – 26,000
EmoticonEmoticon