TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mpenzi Mpya Wa Justin Bieber Anayetegemea Kufunga Naye Ndoa.

Justin Bieber aweka wazi mahusiano yake ya kimapenzi na mwanamitindo Hailey Baldwin hii ni baada ya tetesi kusambaa kuhusiana na wawili hao kuvalishana pete ya uchumba July 7,2018 katika visiwa vya Bahamas.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Justin Bieber ameandika ujumbe mzito baada ya kupost picha akiwa na mpenzi wake Hailey na kusema kuwa anampenda sana mpenzi wake na hatamani kushiriki hisia hizo na mtu mwingine yeyote na kukiri kumvalisha pete ya uchumba.

Bieber ameandika,"Was gonna wait a while to say anything but word travels fast, listen plain and simple Hailey I am soooo in love with everything about you! So committed to spending my life getting to know every single part of you loving you patiently and kindLY. I promise to lead our family with honor and integrity letting Jesus through his Holy Spirit guide us in everything we do and every decision we make. My heart is COMPLETELY and FULLY YOURS and I will ALWAYS put you first! You are the love of my life Hailey Baldwin and I wouldn’t want to spend it with anybody else. You make me so much better and we compliment eachother so well!! Can’t wait for the best season of life yet!. It’s funny because now with you everything seems to make sense! The thing I am most excited for is that my little brother and sister get to see another healthy stable marriage and look for the same!!! Gods timing really is literally perfect, we got engaged on the seventh day of the seventh month, the number seven is the number of spiritual perfection, it’s true GOOGLE IT! Isn’t that nuts? By the way I didn’t plan that, anyways My goodness does feel good to have our future secured! WERE GONNA BE BETTER AT 70 BABY HERE WE GO! “He who finds a wife finds a good thing and obtains FAVOR from the Lord!” This is the year of favor!!!!"

Akimaanisha,Nilikuwa nataka kusubiri kidogo lakini maneno yanasambaa sana , nakupenda sana Hailey kutokana na kila kitu ulichonacho, nakuahidi kuiongoza familia yetu katika maadili na Mungu atulinde katika maamuzi tunayoyafanya, moyo wangu ni wako daima na utakuwa wa kwanza katika kila kitu,Wewe ndio  kipenzi cha maisha yangu na sitaki ku’share hisia hizi na mtu mwingine unanifanya nijisikie vizuri na tunakamilishana , siwezi kusubiri msimu wa maisha yetu , inafurahisha kwasababu kila kitu sasa hivi kinaleta maana , kitu ambacho kinanifurahisha zaidi ni kuwa wadogo zangu wataona ndoa yenye malengo na watajifunza kitu kupitia hapa,Muda alioupanga Mungu siku zote ni sahihi , nilikuvalisha pete siku ya sabasaba , kiimani namba ya saba huwa ni nzuri, lakini sikupanga hili litokee nafurahi kuona maisha yetu ya mbeleni yapo salama, kwa yule aliyepata mke basi amepata kitu kizuri na neema kutoka kwa Mungu
Was gonna wait a while to say anything but word travels fast, listen plain and simple Hailey I am soooo in love with everything about you! So committed to spending my life getting to know every single part of you loving you patiently and kindLY. I promise to lead our family with honor and integrity letting Jesus through his Holy Spirit guide us in everything we do and every decision we make. My heart is COMPLETELY and FULLY YOURS and I will ALWAYS put you first! You are the love of my life Hailey Baldwin and I wouldn’t want to spend it with anybody else. You make me so much better and we compliment eachother so well!! Can’t wait for the best season of life yet!. It’s funny because now with you everything seems to make sense! The thing I am most excited for is that my little brother and sister get to see another healthy stable marriage and look for the same!!! Gods timing really is literally perfect, we got engaged on the seventh day of the seventh month, the number seven is the number of spiritual perfection, it’s true GOOGLE IT! Isn’t that nuts? By the way I didn’t plan that, anyways My goodness does feel good to have our future secured! WERE GONNA BE BETTER AT 70 BABY HERE WE GO! “He who finds a wife finds a good thing and obtains FAVOR from the Lord!” This is the year of favor!!!!
A post shared by Justin Bieber (@justinbieber) on


EmoticonEmoticon