Msanii Wizkid amefunguka baada ya kufanikiwa ku sign Deal ya kuwa balozi wa kinywaji cha CIROC Vodka ambayo inamilikiwa na Rapper P Diddy.
Msanii Wizkid alianza kuonekana na P Diddy last week na ikasemekana kuna lolote litafanyika kati yao huku Diddy akimwita Wizkid ni "Young Black King".
Wizkid baada ya kusign Deal hilo ametangaza kupitia account zake za kijamii ikiwemo Twitter pamoja na Instagram
Alichokisema Wizkid katika video ni,"CIROC Official, Don't Do Drug,Do CIROC"
EmoticonEmoticon