TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Wizkid Aikosa Coachella Muda Aliopangiwa.Sababu Ipo Hapa

Msanii wa Nigeria Wizkid ameshindwa kufika na ku perform kwenye tamasha kubwa dunian la Coachella kwa muda aliopangiwa.

Waandaaji wa tamasha hilo jana walitoa taarifa kupitia account yao ya twitter kuwa rapa huyo amekwama kuingia nchini Marekani na kuahidi mashabiki wa Tamasha hilo kuwa atatumbuiza wikiendi ijayo. 
Kwa upande wa Wizkid sababu ambazo zimemfanya asifike yeye pamoja na team yake ya muziki, ni kutokana na matatizo ya Visa, ambapo ametoa taarifa hizo kupitia account yake ya twitter pia.


EmoticonEmoticon