Historia imeandikwa leo kwa star wa muziki Tanzania, Alikiba kuchukua jiko kutoka mji wa Mombasa nchini Kenya. Ndoa tayari imefungwa leo Aprili 19, 2018 na kinachoendelea hivi sasa ni sherehe za ndoa hiyo. Tumeanza kwa kukuonesha jinsi mambo yalivyokuwa asubuhi wakati ndoa yenyewe ikifungishwa.
Mullastar
Entertainment
Video
Sherehe Ya Harusi Ya Alikiba Live Wakati Huu Inaendelea Huko Kenya Itazame Hapa (VIDEO)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon