Nick Minaj amejiwekea rekodi ya aina yake katika mauzo ya albamu zake duniani.
Nick Minaj amekuwa rapper wa kwanza wa kike duniani kufikisha mauzo ya kopi zaidi ya milioni tano kwa kila albamu ambayo ameitoka.
Rekodi nyingine binafsi ni kuwa Nicki Minaj amekuwa msanii wa kwanza wa rap kuuza kopi za album zaidi milioni 100 duniani kote.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon