RIAA (Recording Industry Association of America) wametangaza rasmi kuwa wasanii 4 wa kimataifa ambao nyimbo zao zina downloadiwa sana mtandaoni(Legal Download)kimauzo akiwemo Rihanaa Ambaye ametokea kuongoza List hiyo.
TOP 5 LIST
- Rihanna Ameuza Copy Milioni 124
- Taylor Swift Ameuza Copy Million 108.5
- Eminem Ameuza Copy Million 107.5
- Katy Perry Ameuza Copy Million 98
- Justin Bieber Ameuza Copy Million 68.5
EmoticonEmoticon