Baada ya kuachiwa Toka Gerezani siku ya Jumanne (Apr. 24) Rapper Meek Mill amekaa chini na kituo kikubwa cha Televison NBC na kufunguka unayotakiwa kuyajua toka ametoka gerezani.
Meek Mill amefunguka na kusema,"Sijalala hata dakika toka nimetoka gerezani,Ni kama mshtuko wa utamaduni unapotoka kwenye small cell na kurudi katika ulimwengu wa kweli,hivyo nadhani mwili wangu unafaa kurekebisha."
Swali alilojibu lingine ni kuhusiana na baada ya kuachiwa kwa dhamana anajihisi vipi wakati huu?
"Sijisiki huru,Sijajisikia huru toka nilipopatwa na kesi nikiwa na umri wa miaka 19.Wakati huu nina miaka 30.Nina sali,Ninaamini Mungu ni mwanasheria wangu wa kwanza,Daima naamini hilo na Nimekuwa na timu yenye nguvu nyuma yangu.Kuna mengi ya mwanga juu ya hali yangu."
EmoticonEmoticon