TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Atangaza Jina La Album Yake Na Tarehe Kamili Ya Kutoka 2018

Kwa mwaka 2018 mpaka right now album mpya ya Rapper Drake imeshakamilika na ameitaja jina na tarehe kamili ya kutoka.

Kupitia account yake ya Instagram Drake ameweka post ya picha aliyovaa Jacket lililoandikwa Jina la Album ambalo ni Scopion, pamoja na tarehe ya kutoka ambayo ni June,huku caption ikisomeka"📀 JUNE 2018"

A post shared by champagnepapi (@champagnepapi) on

Drake amekuwa akirekodi Album hiyo ya Scopion Toronto mwezi uliopita na Album hiyo ameidedicated huko.

Hajatangaza tarehe kamili ya kutoka but ni ndani ya mwezi June



EmoticonEmoticon