TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Iggy Azale & Tyga Hili Ndyo Linaloendelea Kati Yao

Tetesi zilizopo wakati huu zinasema kwamba Tyga pamoja na Iggy Azalea wanatoka pamoja.

Taarifa hizo zimekuja baada ya kuonekana weekend nzima ya Coachella wakiwa pamoja kwa siku 3 mfululizo na paparazi kuwapiga picha.


Kama unakumbuka katika siku ya Valentine's Day Tyga alimpelekea Iggy Azalea special Gift ya maua walipoaper kwenye Interview ya Total Request Live(TRL) February 14.

Tyga sio mtu mzuri kwa watoto wa kike kwani ameshaandika chata kwenye miili ya Untouchable Chick kama Blac Chyna pamoja na Kylie Jenner.



EmoticonEmoticon