TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Yemi Alade Amekula Shavu La Ubalozi Wa Kinywaji Cha Luc Belaire.Alichokisema Yemi Alade

Yemi Alade amefanikiwa kuingia katika Deal ya ubalozi na kinywaji kikubwa cha Luc Belaire ambacho kimekuzwa jina na mastaa wakubwa kwa upande wa International akiwemo Rick Ross na wengine bt kwa upande wa Bongo ni Diamond Platnumz na wengine.
Yemi Alade amefunguka na kusema kwamba,"Nimekuwa shabiki mkubwa sana Belaire’s “Self Made Tastes Better” toka mwanzo, na nlipoambiwa ntakuwa mmoja kati ya wanaotaka kufanya campaign na ku share story ya mafanikio yangu,nlipaswa kusema ndiyo, Like Belaire.I always believed in championing independence and breaking conventions.I’m excited kufanya kazi na brand hii na ku share mtazamo wangu, na pia ntaangalia mbele kutoa video yangu ya mahojiano.Nitapost #SelfMadeWoman messages kwa mashabiki zangu, na kuwatia moyo wanawake dunia nzima tuungane."

Yemi Alade ame share furaha yake ya ubalozi katika account yake ya Instagram na kuandika,"#HAPPYINTERNATIONALWOMENSDAY
#SelfMadeWoman with #BELAIRE 💎💎💎 Encourages women all over the 
world to unite! 💪🏽💪🏽💪🏽
📸 @michaeltubescreations 
#BLACKBOTTLES

Post Nyingine pia ameandika,"#HAPPYINTERNATIONALWOMENSDAY
#SelfMadeWoman with #BELAIRE 💎💎💎 Encourages women all over the 
world to unite! 💪🏽💪🏽💪🏽
📸 @michaeltubescreations 
#BLACKMAGIC
#YEMIALADE"


EmoticonEmoticon