TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Snapchat Waomba Radhi Baada Ya Kutumia Ugomvi Wa Chris Brown & Rihanna Kama Tangazo

Mtandao wa Snapchat umeomba radhi baada ya kukosea na kutumia ugomvi wa mwaka 2009 wa Chris Brown na Rihanna kwenye tangazo lao la Promising “Impossible Choices,” the “Would You Rather?” ambalo lilikuwa likiuliza mashabiki kama Je wangependa kumpiga kofi Rihanna ?  au kumpiga ngumi Chris Brown ?.
Wanaharakati wa haki za wanawake wameona tangazo hili kama udhalilishaji kwa mwanamke mwenzao Rihanna kwa kutumia kitendo alichofanya Chris Brown kama kituko kwenye mtandao wa Snapchat.
Tangazo hilo limefutwa na mtandao huo Snapchat wameomba radhi kwa kitendo hicho. 


EmoticonEmoticon