TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Bow Wow Amefunguka Kwamba Hana Beef Na Chris Brown.Hii Ni Baada Ya....(VIDEO)

Rapper Bow Wow amefunguka kwamba hana Beef na msanii Chris Brown.


Kupitia mahojiano na Rap Up, rapper huyo amefunguka na kusema kwamba,This is the first time I’m breaking everything down,mimi na Breezy tumepitia mambo mengi sana,kila mmoja anayo njia yake ya maisha,na sisi wawili hatujawahi kukwaruzana kwa chochote,Beef ni kitu kikubwa sana(Beef is serious shit) mimi kutoa emotional zangu ninavyojisikia sio Beef.Hilo ni jambo ambalo lipo kichwani mwako,na watu waache kutumia hilo neno....,Beef ni kitu tulichowahi kukishuhudia kama kwa 2Pac na BIG,50 na Ja,Beef ni pale hauwezi ukakaa na mtu kwenye chumba kimoja...That’s beef. I’ve never had beef in my life.  


Kingine alichokiongelea kuhusiana na Breezy in the future alisema,"Nitakuwa powa sana na Breezy for Life,No matter what,Tumekuwa pamoja naye kwenye Tour na tukaingiza mkwanja mwingi,tukashere matukio tofauti pia, It’s gonna always be respect, It’s gonna always be cool and I would never, ever, ever, ever diss somebody who I always had love for, who I got love for.


EmoticonEmoticon