TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rick Ross Aruhusiwa Kutoka Hospital Baada Ya Hali Yake Kuwa Nzuri

Rick Ross is now home

Rapper Rick Ross ameruhusiwa kwenda nyumbani baada ya kukaa siku 4 hospitalin baada ya Hali ya kuugua Ghafla iliyompata March 2.

Chanzo cha karibu na rapper huyo kimesema kwamba rapper huyo ameruhusiwa kwenda nyumbani Siku ya Leo J3 March 5 majira ya asubuhi na yupo nyumbani kwaajili ya mapumziko.

Wakati wa hali mbaya ya Rick Ross ilifikia mpaka kuhamishwa katika hospital 2 tofauti.

Get well soon Bowse 


EmoticonEmoticon