Cardi B is under new management.
Baddest Female Rapper Cardi B imeripotiwa na mtandao wa Variety kuwa amesigniwa na record Label nyingine ambayo ni Quality Control Music.
Hatua ya report hizo zimekuja baada ya Cardi kutangaza Album yake tarehe ya kutoka.
Katika Label hiyo atajiunga na Rapper Offset mchumba wake ambaye analiunda kundi la Migos.
Kuhusiana na Label yake ya Awali ambayo ni Atlantic Records,Bado yupo nayo na inaendelea kusimamia kazi zake.
Mullastar
Entertainment
Record Label Mpya Inayosimamia Kazi Za Cardi B Ndyo Hii Hapa,Amesha sighn Deal.Vp Kuhusu Atlantic Records
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon