Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu,Right now the wait is over.
Tinashe ametoa ngoma zitakazopatikana katika Joyride Album ambayo inategemewa kuingia sokoni April 13.
Wasanii waliofanikiwa kula shavu katika album hiyo ni Offset kwenye ngoma ya (“No Drama”), Future kwenye ngoma ya(“Faded Love”), Ty Dolla $ign, French Montana kwenye ngoma ya (“Me So Bad”), na Little Dragon kwenye ngoma ya(“Stuck With Me”).
EmoticonEmoticon