Zari The Boss Lady ametua nchini Tanzania, Jumanne hii kwaajili ya kusaini dili nono na kampuni moja ya nepi za watato huku akiwazidi kete mastaa wngine wa wa kike Tanzania.
Zari ameweka hadharani Deal hilo katika mitandao ya kijamii na kuonekana na watu zaidi ya Million 3 ambalo bado halijajulika thamani yake huku wadau wa mambo wakidai huwenda dili hilo ni nono kutokana na mrembo huyo kuwa na umaarufu Afrika Mashariki.
Zari ameandika,"Proud to announce am an official brand Ambassador of SoftCare diapers. Diapers which understand your baby's needs. Very absorbent, easy to press elastic band with a 3D leak prevention leaving baby feeling fresh all the time".
EmoticonEmoticon