TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Product Mpya Ya Rick Ross,Diamond Ni Mmoja Kati Ya Wasanii Aliowa TaG.

April 2018 product ya Shampoo ya Rick Ross(Rich By Rick Ross) inategemewa kuingia sokoni na right now yupo katika maandalizi ya kuifanyia promo kabla ya kuingia sokoni.

Kupitia account yake ya instagram ameweka post 2 alizowatag baadhi ya mastar wakubwa akiwemo Diamond Platnumz.

Baadhi ya mastaa hao ni akiwemo,Future,Gucci Mane,Nipsey Husler,Diddy,Dj Khaled,King James,Meek Mill,Diamond Platnumz na wengine zikiwemo page za product mbali mbali pamoja na Bealire.
Hatua hii inaonyesha jinsi gani Rick Ross anakubali jambo analofanya Diamond platnumz na ukubwa wa Fanbase aliyo nayo katika game ya music
Let's Wait & See what Happen baada ya hzo Tag


EmoticonEmoticon