TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Post Malone Kuingia Tena Katika Chart Za Billboard Baaada Ya Kutingisha Na Rockstar


Hii ni baada ya kukaa kwa week 8 mfululizo katika chart za Billboard Hot 100 na Ngoma yake ya Rockstar akiwa na 21 Savage,Right now amerudi katika Top 5 na ngoma yake mpya ya Psycho ambayo amemshirikisha Ty Dolla $ign.

Kwa mujibu wa Billboard wameitangaza kwa week inayoanzia  March 5 ngoma hiyo itakuwa katika chart za Billboard Hot 100 nafasi ya 2.New Chart arranged zitakuonekana jumatano(j5)

Mpaka right now ngoma hiyo imeweza kusikilizwa 45 million U.S, zaidi ya 70,000 Legal Downloads(Not Free downloads) na 10 million kuchezwa hewani kwenye vituo mbalimbali.

Post Malone hajaweza kumtoa Drake katika nafasi ya 1 na God's Plan ambayo imekaa kwa muda wa week 5 bt itakayoanza itakuwa ni week ya 6. 


EmoticonEmoticon