TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kumbe Nicki Minaj Alimfanyia Tory Lanez Hivi Baada Ya Kutumiwa Text (VIDEO)

Baada Ya March 2 Tory Lanez kutoa Album yake Memories Don't Die,amefunguka kuhusiana na jambo kubwa ambalo hakuweza kuelewana na Nicki Minaj baada ya kumtumia Text.


Tory Lanez amefunguka kwamba katika ngoma ya Shooters ambayo ilitangulia kutoka Last year alikuwa amemshirikisha Baddest Female Nicki but baada ya kumtumia Text Nicki na kumwambia kitu kuhusiana na Verse yake,anasema Nicki hakumwelewa vizuri na akasema anata Verse yake iyondolewe katika ngoma hiyo.

Tory anasema,"Alikuwa katika shooters original,alikuwa katika hiyo record mwanzo na nikamweleza kitu kuhusiana na Verse yake,na sikusema kwamba ni mbaya au kitu chochote,Verse yake ilikuwa ya ajabu  and I’m also like a super-Nicki fan.But nilimweleza kitu,nilimtumia sms,na majibu yakaja kwa njia ya tofauti kabisa cs alisoma kwa njia tofauti kabisa na nlivyoandika,akafikia maamuzi yake na kusema Well, nigga, it’s not that serious.Take my verse off the thing.

 

Tory alifunguka baada ya Nicki Minaj kufanya hivyo,anajiskiaje kwake,"Nampenda Nicki Minaj inapokuja katika swala la music wake na vitu vingine."


EmoticonEmoticon