TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mara Ya 1 Kwa Legendary Snoop Doggy kukamata Nafasi Hii Billboard Na Album Yake Ya Gospel

Snoop Doggy Aaandika historia katika chart za Billboard baada ya kutoa album yake mpya ya Gospel, "Bible OF Love".

Kwa mujibu wa Nielsen music wametoa mauzo ya album mpya ya Snoop ambayo imefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza katika Album 200 za Gospel(Gospel Album Chart)

Tangu Snoop aanze kufanya muziki hakuwahi kukamata nafasi ya 1 Billboard 200.


EmoticonEmoticon